Harakati za Qur'ani
IQNA – Taasisi ya Yayasan RI imetoa takriban $875,000 milioni kusaidia Mradi wa Tafsiri ya IshaRI, ukilenga kutafsiri Qur'ani Tukufu katika Lugha ya Ishara ya Malaysia (MSL) kwa jamii ya viziwi.
Habari ID: 3479789 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/22
IQNA-Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ya lugha ya ishara kwa ajili ya viziwi imezinduliwa katika Maonyesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati)
Habari ID: 3470672 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12